solutionsgasil.blogg.se

Ufafanuzi wa kitabu cha ufunuo
Ufafanuzi wa kitabu cha ufunuo





(1988) A Critical and Exegetical Commentary on the Gospel According to Saint Matthew I: Introduction and Commentary on Matthew I–VII.Hotuba juu ya mwisho wa Yerusalemu na mwisho wa nyakati (Mat 23-25).

ufafanuzi wa kitabu cha ufunuo

Safari ya kwenda Yerusalemu (Mat 19-22).Hotuba juu ya mahusiano kati ya wanafunzi (Mat 18).Hotuba ya mifano juu ya Ufalme wa Mungu (Mat 13).Mafundisho juu ya Yohane Mbatizaji, Wafarisayo na walimu wa sheria.Wito wa mitume 12 (10,1-4), tangazo la mateso yajayo (10,16-26), hofu ya watu na kumhofia Mungu (10,26-33) Yohane Mbatizaji, Yesu ajaribiwa jangwani, Mitume wa kwanza Chanzo cha kazi yake huko Galilaya (Mat 3-4).Ukoo wa Yesu, kuzaliwa kwake, kukimbilia Misri na mauaji ya watoto wa Bethlehemu Kutokana na mwanzo huu, vizazi vya baadaye vilimpa Mwinjili Mathayo nembo la mwanamume au malaika akichora habari za Biblia. Injili hii inaanza kwa kuorodhesha mababu wa Yesu. Mathayo anakazia pia mafundisho ya Yesu ilhali Marko anaeleza zaidi matendo yake. Tabia hii inachukuliwa kuthibitisha maelezo ya kwamba Injili hii ililenga Wakristo ambao walikuwa Wayahudi na kutumia lugha ya Kigiriki. Kwa sababu hiyo Mathayo anaripoti maneno ya Agano la Kale mara kwa mara ili kuthibitishwa yametimia katika maisha ya Yesu. Mathayo anakazia kuwa Yesu wa Nazareti ndiye Masiya aliyetangazwa na ma nabii wa Agano la Kale. Wakati wa kutolewa unaaminiwa na wataalamu wengi wa kisasa ilikuwa kati ya mwaka 80 na 90, yaani baada ya hekalu la Yerusalemu kubomolewa, tena baada ya Wayahudi kuwatenga wenzao waliomuamini Yesu. Wataalamu wanajadili kiasi gani maandishi yake yamechangia Injili hii jinsi ilivyo. Ingawa Injili yenyewe haimtaji mwandishi wake, kuanzia Papias (mnamo mwaka 130) Mtume Mathayo ametajwa kama mwandishi wa misemo ya Yesu Kristo kwa lugha ya Kiebrania. Katika matoleo ya Biblia kichwa cha kitabu ni "Injili kama ilivyoandikwa na Mathayo" lakini kichwa hiki si sehemu ya toleo asili la Kigiriki.







Ufafanuzi wa kitabu cha ufunuo